Ufafanuzi wa kibeti katika Kiswahili

kibeti

nominoPlural vibeti

  • 1

    mfuko mdogo, agh. wa ngozi, unaotumiwa kutilia pesa.

    pochi

Matamshi

kibeti

/kibɛti/