Ufafanuzi wa kibogoshi katika Kiswahili

kibogoshi

nominoPlural vibogoshi

  • 1

    mkoba mdogo wa ngozi wa kuwekea pesa au poda; mfuko mdogo.

  • 2

    mfuko unaotengenezwa kwa ngozi na unaotiliwa maziwa.

Matamshi

kibogoshi

/kibOgOʃi/