Ufafanuzi msingi wa kiboko katika Kiswahili

: kiboko1kiboko2kiboko3kiboko4

kiboko1

nominoPlural viboko

 • 1

  mnyama mkubwa na mnene anayeishi katika maji baridi.

 • 2

  mtu mnene.

Asili

Kar

Matamshi

kiboko

/kibOkO/

Ufafanuzi msingi wa kiboko katika Kiswahili

: kiboko1kiboko2kiboko3kiboko4

kiboko2

nominoPlural viboko

 • 1

  nakshi ya shingoni mwa kanzu.

  ‘Kiboko cha shingo’
  ‘Nikufanyie darisi ya pepeta au ya kiboko?’

Matamshi

kiboko

/kibOkO/

Ufafanuzi msingi wa kiboko katika Kiswahili

: kiboko1kiboko2kiboko3kiboko4

kiboko3

kivumishi

 • 1

  -enye kuwa -zuri na kuvutia sana.

Asili

Kar

Matamshi

kiboko

/kibOkO/

Ufafanuzi msingi wa kiboko katika Kiswahili

: kiboko1kiboko2kiboko3kiboko4

kiboko4

nominoPlural viboko

 • 1

  mjeledi uliotengenezwa kwa ngozi ya kiboko, faru au mkia wa taa.

 • 2

  fimbo yoyote ya kuchapia k.v. henzirani.

  henzirani

Matamshi

kiboko

/kibɔkɔ/