Ufafanuzi msingi wa kibua katika Kiswahili

: kibua1kibua2

kibua1

nomino

  • 1

    kitu chochote chepesi.

Matamshi

kibua

/kibuwa/

Ufafanuzi msingi wa kibua katika Kiswahili

: kibua1kibua2

kibua2

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya kolekole ambaye huwa juu ya maji zaidi kuliko kuzama chini.

    una

Matamshi

kibua

/kibuwa/