Ufafanuzi wa kibushuti katika Kiswahili

kibushuti

nominoPlural vibushuti

  • 1

    binadamu mfupi sana.

    mbilikimo

Matamshi

kibushuti

/kibuʃuti/