Ufafanuzi wa kibuyu katika Kiswahili

kibuyu

nomino

  • 1

    chombo kinachotokana na mmea unaotambaa, boga au mung’unye kinachotumiwa kutilia vitu viowevu.

    kitoma

Matamshi

kibuyu

/kibuju/