Ufafanuzi wa kichea katika Kiswahili

kichea

nominoPlural vychea

  • 1

    mtanzuko wa mbingu baada ya mawingu kuondoka.

Matamshi

kichea

/kit∫ɛja/