Ufafanuzi wa kicheche katika Kiswahili

kicheche

nomino

  • 1

    mnyama kama paka mwitu ambaye hukamata kuku.

Matamshi

kicheche

/kit∫ɛt∫ɛ/