Ufafanuzi wa kichinjaudhia katika Kiswahili

kichinjaudhia

nominoPlural vychinjaudhia

  • 1

    majani yatumiwayo na waganga wa jadi kutibu maradhi ya kichwa.

Matamshi

kichinjaudhia

/kit∫inʄauDija/