Ufafanuzi wa kichocheo katika Kiswahili

kichocheo

nominoPlural vychocheo

 • 1

  kitu chochote kinachotumiwa kwa kukolezea moto.

 • 2

  kitu kinachotia ari ya kufanya jambo; kitu kinachotia shauku.

  motisha

 • 3

  jambo au wazo linalosisimua mawazo.

Matamshi

kichocheo

/kit∫Ot∫ɛO/