Ufafanuzi wa kichwangomba katika Kiswahili

kichwangomba

kielezi

  • 1

    kwa kichwa kuwa chini, miguu juu.

    ‘Amepinduka kichwangomba’

Matamshi

kichwangomba

/kit∫wangOmba/