Ufafanuzi wa kideri katika Kiswahili

kideri

nominoPlural videri

  • 1

    ugonjwa wa kuharisha unaowapata kuku ambao huwafanya kufa ghafla.

    mdondo

Matamshi

kideri

/kidɛri/