Ufafanuzi msingi wa kidhi katika Kiswahili

: kidhi1kidhi2

kidhi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  timizia jambo au kitu kwa mwenye shida nacho.

  ‘Kidhi haja’
  tosheleza

Asili

Kar

Matamshi

kidhi

/kiDi/

Ufafanuzi msingi wa kidhi katika Kiswahili

: kidhi1kidhi2

kidhi2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  tekeleza faradhi ya kidini au isiyokuwa ya kidini baada ya muda wake uliopangwa kupita.

  ‘Kidhi sala’
  ‘Kidhi saumu’

Asili

Kar

Matamshi

kidhi

/kiDi/