Ufafanuzi wa kidoko katika Kiswahili

kidoko

nominoPlural vidoko

  • 1

    kishindo kinachofanywa kwa kualisha ulimi na mdomo.

Matamshi

kidoko

/kidOkO/