Ufafanuzi wa kidomodomo katika Kiswahili

kidomodomo

nominoPlural vidomodomo

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusemasema maneno ya kuchonganisha au kuingilia kati maneno ya watu.

    mbeya

Matamshi

kidomodomo

/kidOmOdOmO/