Ufafanuzi wa kidubwana katika Kiswahili

kidubwana

nominoPlural vidubwana

  • 1

    kitu kidogo ambacho hakijulikani au hakitakiwi kutajwa jina lake.

    kindengereka, kidude, kidubwasha

Matamshi

kidubwana

/kidubwana/