Ufafanuzi wa kidudumtu katika Kiswahili

kidudumtu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchunguza mambo ya watu wengine.

    fatani, mbeya

Matamshi

kidudumtu

/kidudumtu/