Ufafanuzi wa kienge katika Kiswahili

kienge

nomino

  • 1

    fungu la makuti au vijiti vikavu linalotumiwa kwa kurinia asali au kwa kuulia siafu.

Matamshi

kienge

/kiɛngɛ/