Ufafanuzi wa kifandugu katika Kiswahili

kifandugu

nominoPlural vifandugu

  • 1

    kifupa cha mwisho cha uti wa mgongo.

    kitokono

Matamshi

kifandugu

/kifandugu/