Ufafanuzi wa kifumbu katika Kiswahili

kifumbu

nominoPlural vifumbu

  • 1

    chombo cha miyaa chenye umbo la duara ambacho hutumika kuchujia nazi.

    kung’uto, kichujio

Matamshi

kifumbu

/kifumbu/