Ufafanuzi msingi wa kifuu katika Kiswahili

: kifuu1kifuu2

kifuu1

nominoPlural vifuu

  • 1

    ganda tupu na gumu la nazi, agh. baada ya kukunwa, lenye umbo kama bakuli dogo.

Matamshi

kifuu

/kifu:/

Ufafanuzi msingi wa kifuu katika Kiswahili

: kifuu1kifuu2

kifuu2

nominoPlural vifuu

  • 1

    mfupa wa samaki kama ngisi.

    ‘Kifuu cha ngisi’

Matamshi

kifuu

/kifu:/