Ufafanuzi wa kigano katika Kiswahili

kigano

nominoPlural vigano

  • 1

    hadithi ya masimulizi ya kubuni ya jadi.

Matamshi

kigano

/kiganɔ/