Ufafanuzi wa kigombegombe katika Kiswahili

kigombegombe

nomino

  • 1

    samaki mwenye magamba magumu, rangi yake ni ya kijivu na mabatobato meupe na miba kichwani mithili ya pembe.

Matamshi

kigombegombe

/kigOmbɛgOmbɛ/