Ufafanuzi msingi wa kigwaru katika Kiswahili

: kigwaru1kigwaru2

kigwaru1

nomino

Matamshi

kigwaru

/kigwaru/

Ufafanuzi msingi wa kigwaru katika Kiswahili

: kigwaru1kigwaru2

kigwaru2

nomino

  • 1

    ngoma maalumu ya wanawake wa Kilwa ifananayo na msondo inayochezwa ndani ya nyumba kuepusha wanaume kuitazama.

  • 2

    ngoma yenye umbo kama la msondo.

Matamshi

kigwaru

/kigwaru/