Ufafanuzi wa kiimbo katika Kiswahili

kiimbo

nominoPlural viimbo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    upandaji na ushukaji wa mawimbi ya sauti katika usemaji wa lugha za mwanadamu au unaofanyika wakati mtu anapozungumza.

Matamshi

kiimbo

/ki:mbɔ/