Ufafanuzi msingi wa kiini katika Kiswahili

: kiini1kiini2kiini3

kiini1

nominoPlural viini

 • 1

  moyo wa kitu au sehemu iliyo ndani kabisa.

  ‘Kiini cha mti’
  ‘Kiini cha kokwa’

Matamshi

kiini

/ki:ni/

Ufafanuzi msingi wa kiini katika Kiswahili

: kiini1kiini2kiini3

kiini2

nominoPlural viini

 • 1

  mimba ya miezi mitatu.

 • 2

  chembechembe za kitu zinazojenga kitu kingine.

Matamshi

kiini

/ki:ni/

Ufafanuzi msingi wa kiini katika Kiswahili

: kiini1kiini2kiini3

kiini3

nominoPlural viini

 • 1

  undani wa jambo.

 • 2

  sababu ya jambo, kisa au tukio.

  ‘Kiini cha habari’
  chanzo, mwanzo

Matamshi

kiini

/ki:ni/