Ufafanuzi wa kijambia katika Kiswahili

kijambia

nominoPlural vijambia

  • 1

    kipande cha nguo kinachoshonewa kwapani katika kanzu au shati.

Asili

Kaj

Matamshi

kijambia

/kiʄambija/