Ufafanuzi wa kijana katika Kiswahili

kijana

nomino

  • 1

    mwana mdogo; mtoto wa kiume au wa kike hadi umri wa kubalehe.

    kijulanga, danga

  • 2

    mtu wa makamo mwenye nguvu.

    kinda

Matamshi

kijana

/kiʄana/