Ufafanuzi wa kijiji katika Kiswahili

kijiji

nominoPlural vijiji

  • 1

    mahali panapoishi watu wengi pamoja, ambapo si mji.

    kiambo, kaya, karia

Matamshi

kijiji

/kiʄiʄi/