Ufafanuzi msingi wa kijogoo katika Kiswahili

: kijogoo1kijogoo2

kijogoo1

nominoPlural vijogoo

 • 1

  samaki mpana mwenye kivimbe cha duara na rangi ya kijivu iliyochanganyika na nyeusi, kichwa chenye mistari myeusi ya mlalo na mkia wenye pezi lililosimama.

Matamshi

kijogoo

/kiʄOgO:/

Ufafanuzi msingi wa kijogoo katika Kiswahili

: kijogoo1kijogoo2

kijogoo2

nominoPlural vijogoo

 • 1

  mtu shujaa.

  hodari

 • 2

  mtu anayependa wanawake sana.

Matamshi

kijogoo

/kiʄOgO:/