Ufafanuzi wa kike katika Kiswahili

kike

nomino

  • 1

    kv hali ya uanauke; hali ya kuwa wa jinsi isiyo ya kiume.

Matamshi

kike

/kikɛ/