Ufafanuzi wa kikoa katika Kiswahili

kikoa

nominoPlural vikoa

  • 1

    umoja au ushirika wa watu wanaofanya mambo au kazi zao kwa zamu au kila mtu kwa siku yake, kwa faida ya wenzake.

  • 2

    ulaji wa chakula kwa pamoja kwa mpango wa kila anayeshiriki kugharimia au kukitayarisha chakula hicho.

  • 3

    uhusiano wa karibu wa vitu.

Matamshi

kikoa

/kikOwa/