Ufafanuzi wa kikopesa katika Kiswahili

kikopesa

nomino

  • 1

    nafasi chini ya paa nje ya nyumba, agh. hutumika kuwekea vitu.

    upenu

Matamshi

kikopesa

/kikOpɛsa/