Ufafanuzi wa kileti katika Kiswahili

kileti

nomino

  • 1

    kitanzi cha kamba au chuma cha kupitishia kasia kiwe kama egemeo.

    kishwara

Matamshi

kileti

/kilɛti/