Ufafanuzi wa kiloaka katika Kiswahili

kiloaka

nominoPlural viloaka

  • 1

    sehemu katika miili ya baadhi ya wanyama k.v. chura, nyoka au ndege ambapo njia ya uzazi na ya chakula hukutana.

Matamshi

kiloaka

/kilOwaka/