Ufafanuzi wa kilomita katika Kiswahili

kilomita

nominoPlural kilomita

  • 1

    umbali au masafa ya yadi 1,093 au mita 1,000.

Matamshi

kilomita

/kilOmita/