Ufafanuzi wa kilumwe katika Kiswahili

kilumwe

nominoPlural kilumwe

  • 1

    ugonjwa wa titi unaotokea chini ya ziwa la kushoto na walionao hukatazwa kula chumvi.

Matamshi

kilumwe

/kilumwɛ/