Ufafanuzi msingi wa kimanda katika Kiswahili

: kimanda1kimanda2

kimanda1

nomino

  • 1

    yai lililopigwa na kukaangwa, agh. hutiwa pilipili, vitunguu, n.k..

Matamshi

kimanda

/kimanda/

Ufafanuzi msingi wa kimanda katika Kiswahili

: kimanda1kimanda2

kimanda2

nomino

  • 1

    doa la uchafu katika nguo.

Matamshi

kimanda

/kimanda/