Ufafanuzi wa kimau katika Kiswahili

kimau

nomino

  • 1

    shati lisilo na ukosi.

Matamshi

kimau

/kimawu/