Ufafanuzi wa kimenomeno katika Kiswahili

kimenomeno

nomino

  • 1

    harufu mbaya inayotoka mdomoni, agh. kwa mtu mwenye ugonjwa wa kiseyeye.

Matamshi

kimenomeno

/kimɛnɔmɛnɔ/