Ufafanuzi msingi wa kimondo katika Kiswahili

: kimondo1kimondo2kimondo3kimondo4

kimondo1

nomino

  • 1

    nyota ipitayo kasi angani.

Matamshi

kimondo

/kimOndO/

Ufafanuzi msingi wa kimondo katika Kiswahili

: kimondo1kimondo2kimondo3kimondo4

kimondo2

nomino

  • 1

    mtu mjinga.

Matamshi

kimondo

/kimOndO/

Ufafanuzi msingi wa kimondo katika Kiswahili

: kimondo1kimondo2kimondo3kimondo4

kimondo3

nomino

  • 1

    gauni au kanzu fupi ya kike ambayo ni mtindo ulioletwa kutoka Japani.

Asili

Kjp

Matamshi

kimondo

/kimOndO/

Ufafanuzi msingi wa kimondo katika Kiswahili

: kimondo1kimondo2kimondo3kimondo4

kimondo4

nomino

Matamshi

kimondo

/kimOndO/