Ufafanuzi msingi wa kimu katika Kiswahili

: kimu1kimu2kimu3

kimu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Kidini
 • 1

  Kidini
  julisha watu wawe tayari kusali.

  ‘Kimu sala’

Matamshi

kimu

/kimu/

Ufafanuzi msingi wa kimu katika Kiswahili

: kimu1kimu2kimu3

kimu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  -pa mtu mahitaji muhimu ya maisha k.v. chakula, makazi au nguo.

 • 2

  tazama

Asili

Kar

Matamshi

kimu

/kimu/

Ufafanuzi msingi wa kimu katika Kiswahili

: kimu1kimu2kimu3

kimu3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

Matamshi

kimu

/kimu/