Ufafanuzi msingi wa kimwa katika Kiswahili

: kimwa1kimwa2

kimwa1

kitenzi sielekezi

  • 1

    kinai na kitu au jambo.

Matamshi

kimwa

/kimwa/

Ufafanuzi msingi wa kimwa katika Kiswahili

: kimwa1kimwa2

kimwa2

kitenzi sielekezi

  • 1

    kasirishwa na jambo.

Matamshi

kimwa

/kimwa/