Ufafanuzi wa kinanda katika Kiswahili

kinanda

nominoPlural vinanda

 • 1

  chombo kinachotoa sauti kwa kupulizwa au kuguswa nyuzi au misumari yake k.v. piano.

  ‘Kinanda cha msumari’
  ‘Kinanda cha mdomo’

 • 2

  gramafoni

 • 3

  harimuni

Matamshi

kinanda

/kinanda/