Ufafanuzi wa king’ani katika Kiswahili

king’ani

nomino

  • 1

    nguo ya ndani inayobana, hususan huvaliwa na wanawake.

Matamshi

king’ani

/ki4ani/