Ufafanuzi wa kingama katika Kiswahili

kingama

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    lala toka upande mmoja hadi mwingine bila ya kuacha nafasi.

    ‘Gogo limekingama njia’

Matamshi

kingama

/kingama/