Ufafanuzi wa kingisa katika Kiswahili

kingisa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    beba kwa taabu kwa sababu ya uzito.

Matamshi

kingisa

/kingisa/