Ufafanuzi wa kingwangwa katika Kiswahili

kingwangwa

nomino

  • 1

    jambo lililozidi uzito kuliko ule uliokadiriwa awali.

Matamshi

kingwangwa

/kingwangwa/