Ufafanuzi wa kinyambuo katika Kiswahili

kinyambuo

nominoPlural vinyambuo

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno lililoundwa kwa kuambatisha kiambishi au viambishi katika mzizi wa neno.

Matamshi

kinyambuo

/ki3ambuwO/