Ufafanuzi wa kinyangarika katika Kiswahili

kinyangarika

nomino

  • 1

    kitu cha kudharaulika; kitu kisichofaa.

    kindengereka

Matamshi

kinyangarika

/ki3angarika/